Mmoja wa Majeruhi wa majeruhi wa vurugu zilizotokea oktoba 27m Bw. Mashaka Mbawala wakati wa kampeni za lala salama na uchaguzi ulifanyika oktoba 28 mwaka huu.ccm imerejesha viti vyote viwili.
Mashaka akitafakari jambo na kueleza kuwa wamekuwa wakitumika kwa maslahi ya watu hivyo hataendelea tena kutumika kisiasa kutokana na kipigo alichokipata
No comments:
Post a Comment