I AM FREE LANCER JOURNALIST
IN SONGEA,RUVUMA REGION
0755761195,0655761195
josephmwambije@yahoo.co.uk
josephmwambije@gmail.com
Home
▼
Saturday, October 20, 2012
SHEIK FARID ALIYESABABISHA VURUGU ZANZIBAR AMEPATIKANA AKIWA SALAMA
Habari zilizotufikia
masaa machache yaliyopita ni kwamba kiongozi wa jumuiya ya Uamsho, Sheikh
Farid amepatikana akiwa katika hali nzuri na kwa sasa yupo kwao kwa mzazi wake
akipumzika.
Itakumbukwa
kwamba vurugu za visiwani Zanzibar zilishadidishwa na ripoti iliyotolewa na Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais visiwani humo kwamba haijafahamika yu wapi.
No comments:
Post a Comment