Hapa Kituo cha kwanza Lilondo.Wa kwanza kushoto ni Muhidin Ari wa Habari leo na Alpius Mchucha.Walielekea Mkoani Iringa kwa ajili ya kupata mafunzo ya Sensa.
Hapa ni Makambako.Katikati ni Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Ruvuma Bw. Moses Konala akibadilisha mawazo na wanahabari wezake.wa kwanza kushoto ni Muhidin Amri.Wa kwanza kulia ni ni Mpenda Mvula na Innocent Msuha.
Mmiliki wa Mtandao huu Bw. Joseph Mwambije wa kwanza kushoto akiwa Wanahabari wenzake katika Stendi ya Njombe.
Hapa wakitembea kuvinjari Stendi ya Makambako(katikati) ni Amon Mtega wa Gazeti la Mtanzania Mkoa wa Ruvuma
Wakitembea stendi hapo
Hapa wa kwanza kushoto ni Cresensia Kapinga wa gazeti la Majira na Joliga wakiwa ndani ya usafiri wa Super Feo wakielekea Iringa
No comments:
Post a Comment