Bango katika Chuo kikuu cha Ruaha Mkoani Iringa linalowataka Wanachuo kumaliza mafunzo yao wakiwa na alama na sio UKIMWI.Bila sha ujumbe huu ni wa msingi kwani Wanachuo wengi wamekuwa wakimaliza masomo yao na kuambulia UKIMWI na kuwa hasara kwa wazazi wao na Taifa kwa ujumla
Ujumbe huu ni wa msingi na wa kuzingatia kwa ustawi wa Taifa.
Wanachuo zingatieni ujumbe huu.
Mwanablogu Joseph Mwambije akitafakari kwenye Bango hilo.
No comments:
Post a Comment