Akipozi katikati ya Mji wa Iringa
Akiwa na Wanahabari wenzake Amon Mtega wa gazeti la Mtanzania na Innocent Msuha wa Jogoo FM.
akiwa na wenzake hao
Wakitafakari jambo.
Akitembea katika Chuo kiku cha Ruaha Mkoani Iringa.
Hapa Wanahabari wa Mkoa wa Ruvuma wakifurahia jambo.Wa kwana kushoto ni Bw. Joseph Mwambije.
Hawa ni Wanahabari wa Mkoa wa Mbeya wakifurahia na Mkuu wa Wilaya Dkt Beatrice Warioba(kushoto) na Mwenyekiti wa Mbeya Press Club Bw. Christopher Nyenyembe.
No comments:
Post a Comment