Friday, August 17, 2012

MADIWANI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATENDAJI ILI KUILETEA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

 Jengo la Mikutano la Halmashauri ya Wilaya ya Songea lenye historia ndefu ambako Mkutano huo ulifanyika.Zamani lilikuwa likiitwa jumba la maendeleo.
 Katibu wa Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Hassan Bendeyeko akizungumza kwenye Mkutano huo na kuwataka Madiwani kushirikiana na Watendaji ili kuleta maendeleo.
 Madiwani wakiptia makabrasha.
 Katikati Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Rajabu Mtiula akipitia Kabrasha kwenywe Mkutano huo.
 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bw.  Kessam Maswaga akisoma taarifa ya  utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
  Watumishi wa Halmashauri hiyo wakimsikiliza  Katibu Tawala.
 Diwani wa  Kata ya Kilagano  Songea Bw. Batholomeo Nkwera akichangia hoja kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya Songea  kukosa shilingi milioni 500 za ushuru wa mazao toka kwa Wakala wa hifadhi ya chakula ya Taifa (NFRA)
 Bw. Maswaga akijibu hoja za Madiwani kwenye Mkutano huo.kulia ni Bw. Mtiula
Mkuu wa Wilaya ya Songea Bw. Joseoph Mkirikiti akizungumza kwenye Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment