Mkurugenzi wa Kampuni ya Ardhi Plan Limited Bw. Gombo semndito(kulia) akifurahia na Watendaji wengine wa Kampuni hiyo katika Mkutano huo.
Bw. Gombo Semandito akizungumza kwenye mkutano huo kuhusu mafanikio ya Kampuni hiyo katika upimaji wa viwanja kwenye Kata ya Mshangano ambapo imewapimia viwanja hivyo kwa gharama nafuu.
Mwanaharakati Juma Nyumayo wa Songea akizungumza kwa hisia kali kuhusu kampuni hiyo ilivyowasaidia wananchi kuwapimia viwanja vyao.
Gombo Semandito akifafanua jambo
Wananchi (juu)wakiwa kwenye mkutano.Picha chini Mwenyekiti wa Mtaa wa Namanyigu Bw. Fidolin Malindisa akizungumza kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment