Wednesday, August 15, 2012

MAFUNZO YA SENSA YA SIKU MBILI KWA WANAHABARI KUSINI YAFUNGWA

 Katibua Tawala wa Mkoa wa Iringa Bi. Gerude Lupaka akaifunga mafunzo hayo ya siku mbili.Kaktika mafunzo hayo Wanahabari wamejifunza namna ya uulizaji wa maswali kwa kutumia dodoso refu na fupi na kutambua maeneo ya Sensa na namna ya kuripoti Zoezi zima la Sensa.
 Wanahabari wakifusatilia kwa makini hotuba ya kufunga mafunzo hayo
 Mwenyekiti wa Mafunzo hayo Bw. Nyenyembe akizungumza.
 Mmiliki wa  Mtandao huu Bw. Mwambije (wa kwanza kulia) akifuatilia ramani  katika Field Work maeneo ya Wilolesi Mkoani Iringa.
 Mwanahabari Mkongwe wa Mkoa wa Rukwa Bw. Nswima Ernest akishukuru kuhitimisha mafunzo hayo.
 Mmiliki wa Mtandao huu Bw. Mwambije wa kwanza kulia akitembea katika eneo la Chuo kikuu cha Ruaha Mkoani Iringa.
 Hapa Bw. Mwambije wa kwanza kulia akibadilishana mawazo na Mwanahabari mwenzake Bw. Rashid Mkwinda wa Mbeya katika mafunzo hayo ambapo walikuwa wakizungumza namna ya kuyafanyia kazi waliyojifunza kwa siku mbili.
 Hapa Bw Mwambije alinyosha kidole akiwaelekeza wenzake eneo wanalokwenda.Hapa ilikuwa Field Work katika mafunzo hayo.
 Hapa bado anatoa maelekezo.
 Hapa akiwa amepozi kulia  Wanamafunzo wakijadiliana.
 Katibu Mkuu wa Iringa Press Club Bw. Frank Leonard akisisitiza jambo wakati akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Bw. Michael  Kamuhanda.Wengine ni Wanahabari wenzake.
 Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma Bw. Andrew Chatwanga akifurahia jambo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Bw. Kamuhanda.
 Mandhari ya mji wa Iringa ambako mafunzo hayo yalifanyika
 Mmiliki wa Mtandao huu Bw. Mwambije akizungumza na sikwenye Hoteli aliyofikia Mkoani Iringa.
Hapa anatafakari jambo namna ya kufanyia kazi mafafunzo aliyoyapata.

No comments:

Post a Comment