Sunday, July 15, 2012

MFANYABIASHARA ASHINDA UENYEKITI WA CCM KATA YA MISUFINI SONGEA

 Hapa Mjasiriamali  na Mfanyabiashara Bw. Bakary Sika akitabasamu baada ya kutangazwa kuwa Mshindi wa Uenyekiti wa CCM Kata ya Misufini na Kuwashinda wapinzani wake Bw. Hamad Mateka na Mbano Kisiga.Kata hiyo inatawaliwa na Diwani wa Chadema Bw. Salumu Mfamaji.Je safu mpya ya Uongoziwa Chama hicho itarejesha Kiti hicho mikononi mwa CCM?
 Akiwa na mwenyekiti Mstaafu wa CCM Kata ya Misufini Mzee Yasin Maruzuku.
 Hapa akiwa na Wapenzi wa Chama hicho wakimpongeza.
 Hapa akisikilizia Matokeo.Mfanyabiashasra huyo wa mazao alishinda kwa kupata kura 30 dhidi ya kura 44 zilizopigwa.
Akipongezwa na aliyekuwa Mpinzani wake Bw. Kisiga Mbano.

No comments:

Post a Comment