Saturday, October 20, 2012

WASANII WA KUNDI LA KANGA MOJA NDEMBENDEMBE LAKI SI PESA WAMWAGA RADHI SONGEA

 Mmoja wa Wasanii wa Kundi hilo  Neema Yusuph akimwaga radhi juu ya gari kwenye matangazo ya PA maeneo ya Stendi kuu Songea Mkoani Ruvuma kabla ya kufanya Onyesho lao kwenye ukumbi wa Parokia ya Bombambili leo usiku.
 Neema katika Pozi baada ya kufanya mazungumzo na Mtandao  huu.Ha
Hapa akiwa katika pozi na nguo za heshima

No comments:

Post a Comment