Waziri Mkuu askishuka kwenye ndege tayari kwa kuanza ziara ya siku mbili Juni 6 na na Juni 7 Mwaka huu Mkoani Ruvuma ambapo alitembelea shamba la Mwekezaji wa kihindi Bw. Medappa ktk kijiji cha Lipokela Songea vijijini na hifadshi ya chakula ya Taifa,tayari amemaliza ziara hiyo na kuelekea Arusha.
No comments:
Post a Comment