Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Bw. Zakariah Nachoa akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.Wa pili kulia ni Meya wa Manispaa hiyo Bw. Charles Mhagama na aliyekuwa Naibu wake Bi. Mariam Dizumba
Madiwani wakifuatilia kwa makini hoja zinazotolewa Barazani hapo.Wa kwanza kushoto ni Diwani wa Kata ya Ruvuma Bw. Victor Ngongi.Katika kikao hicho Madiwani hao wameilalamikia Nchi ya Msumbiji kwa kuwanyanyasa Watanzania waishio huko.Kufuatia hoja hiyo Meya bw. Mhagama aliwataka kuleta ushahidi ili aweze kulishughulikia suala hilo.
Diwani wa Kata ya Bombambili Bw. keneth Mbangala(CHADEMA) akipitia Kabrasha lake ili aweze kuchangia hoja kwenye kikao hicho.Pamoja na mambo mengine Madiwani walilalamikia Watanzania waishio Nchini Msumbiji kunyanyaswa na nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment