Mkuu wa Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Bw. Joseph Mkirikiti(katikati)akiwa kwenye Mkutano wa Makarani wa Sensa Manispaa ya Songea jana.Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Bw. Naftari Sayiloi na wa kwanza kulia ni Meya wa Manispaa hiyo Bw. Charles Mhagama
DC Mkirikiti akiingia kufungua mafunzo ya Sensa Songea vijijini yaliyofanyika kwenye Shule ya Sekondari Mpitimbi jana,anayemuongoza ni Mkuu wa Shule hiyo Bw. Chanai
Akifungua mafunzo kwa Manispaa ya Songea jana.
Meya wa Manispaa ya Songea Bw. Mhagama akinong'onezana jambo na Mratibu wa Sensa Manispaa ya Songea Bi. Pendo. hilo lilijiri hapo jana
DC Mkirikiti akisisitiza jambo kwenye mafunzo ya Makarani wa Sensa Mpitimbi.
Baadhi ya Makarani wa Sensa ambao wengi wao ni walimu wakiwa kwenye mafunzo Mpitimbi Songea vijijini
Mratibu wa Sensa Songea Songea vijijini Bw. Dick akizungumza kwenye mafunzo yaliyofanyika Maposeni
DC Mkirikiti akipitia Kitabu cha mwongozo wa Sensa Maposeni Peramiho
Akizungumza na Makarani wa Sensa Maposeni Songea.
Makarani wa sensa wakiwa Shule ya Sekondari Maposeni Songea Vijijini.
Bw. Mkirikiti akizungumza na Wanahabari baada ya kufungua mafuno ya Sensa kwa Manispaa ya Songea.
No comments:
Post a Comment