Mkurugenzi wa Chama cha watu wanaona virusi vya ukimwi(SHDEPHA)Taifa Bw. Joseph Katto akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma za aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Bernard M,apunda na kamati yake ya utendaji kutafuta zaidi ya shilingi milioni 40.Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho taifa Bi.Oliver Mahenge.
Mwenyekiti wa Chama hicho wa Mkoa wa Ruvuma Bi. Imelda Fusi akizungumza.Mwingine ni Mratibu wa Chama hicho wa Wilaya ya Songea Bw. Venant Chiwangu.
No comments:
Post a Comment