Mkurugenzi wa Hospitali ya Misheni Peramiho Doctor Ansigar Stuffe akizungumza kwenye jubiei yake ya miaka 25 na huduma za kijamii anazozifanya kwenye Tarafa ya Peramiho Mkoani Ruvuma kupitia kupitia huduma ya afya ya msingi Hospitali ya Peramiho(HAM) ilyoanzishwa mwaka 1987.
Hapa wanavikwa mavazi ya jadi pamoja na Mratibu wa afya ya msingi(HAM) Abel Mapunda anayevikwa mavazi hayo ya kabila la Wamasai.
Mganda hawa walikuwa kivutio
Mratibu huyo waAfya ya ya msingi akizungumza
Hapa anapokea risala.
Hapa anapokea zawadi.
Diwani wa Kata ya Lilambo Bw. Yobo Mapunda ilikofanyika jubilei hiyo akizungumza
Katibu Tarafa wa Tarafa ya Ruvuma Bi Digna Mhagama akizungumza kwenye Jubilei hiyo.
Hapa anakagua mradi wa vyandarua ili kuwakinga wananchi hasa watoto na ugonjwa huo ambapo amefanikiwa kupunguza ugonjwa huo kwa asilimia 80.
Hapa anakagua kisima cha maji mtiririko cha kijadi alichowajengea wananchi.
No comments:
Post a Comment