Wednesday, October 17, 2012

MAHAFALI KATIKA SHULE YA SEKONDARI WILIMA SONGEA

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Songea Bw. Rajabu Mtiula akisalimiana na Meneja wa Shule ya Wilima iliyoko Songea Vijijini Mkoani Ruvuma.
 Mwenyekiti huyo kulia akikagua jengo jipya  la Utawala la Shule hiyo.
 Igizo hili la Wachungaji wako bize,lilikuwa kivuti katika Mahafali hayo yaliyofana.
 Mmoja wa Wahitimu akipokea Cheti cha kuhitimu kidato cha nne.
 Jengo la utawala linavyoonekana.
 Mwenyekiti Mtiula akisalimiana na mmoja wa Wanafunzi wa Shule hiyo.

Akiagana na Meneja wa Shule hiyo baada ya mahafali kumalizika.

1 comment:

  1. Ahsante sana kwa kumbukumbu hii nimejikuta nipo Wilima tena..nyumbani

    ReplyDelete