Saturday, October 20, 2012

SHEIK FARID ALIYESABABISHA VURUGU ZANZIBAR AMEPATIKANA AKIWA SALAMA

 


 
Habari zilizotufikia masaa machache yaliyopita ni kwamba kiongozi wa jumuiya ya Uamsho, Sheikh Farid amepatikana akiwa katika hali nzuri na kwa sasa yupo kwao kwa mzazi wake akipumzika.
Itakumbukwa kwamba vurugu za visiwani Zanzibar zilishadidishwa na ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  visiwani humo kwamba haijafahamika yu wapi.

No comments:

Post a Comment