Thursday, November 1, 2012

WANAHABARI TULIVYOFURAHIA MAISHA DODOMA HOTEL NA JUKWAA LA KATIBA

 Hawa ni baadhi ya wanahabari kutoka sehemu mblimbali Nchini wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wa namna ya kuandika  habari za mchakato wa katiba mpya.kutoka kushoto ni Idda Mushi wa ITV na Radio One Morogoro Joseph Mwwambije wa Itv/radio One na magazeti mbalimbali Ruvuma, Edita Karlo wa gazeti la Mtanzania Kigoma, Asia Msangi  wa moshi F.M na Bertha Mwambela wa Tanzania Daima Tanga.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Jukwaa la Katiba Tanzania
Picha chini ni matukio mbaslimbali





 Mandhari ya Dodoma Hotel



No comments:

Post a Comment