Mkufunzi Mkuu wa kilimo na Mkaguzi wa mbolea toka wizara ya kilimo na chakula Bi. Stella Mutagwaba nakizungumza na Wakala wa pembejeo za kilimo wa Peramiho Songea vijijini Bw. Arelius Njerekela wakati Mamlaka ya udhibiti wa ubora wa mbloea ilipotembelea Mkoani Ruvuma.
Mamlaka hiyo imetembele mkoani humo kufanya ukaguzi wa mbolea wakati kuna malalamiko ya baadhi wananchi nkukosa mazao baada ya kutumia mbolea isiyo na viwango.
Mamlaka hiyo imetembele mkoani humo kufanya ukaguzi wa mbolea wakati kuna malalamiko ya baadhi wananchi nkukosa mazao baada ya kutumia mbolea isiyo na viwango.
No comments:
Post a Comment