Sunday, July 8, 2012

USAFIRI HUU HAUVUMI LAKINI BADO WAMO

 Huu ni usafiri wa kutoka Songea kuelekea Namtumbo maarufu kwa jina la 'Matimbula' ingawa kuna magari mengine ya kisasa yanayofanya safari kuelekea huko lakini gari hilo limekuwa na wapenzi  wengi ingawa mwendo wake ni  wa polepole kama wa kinyonga.
Huyu ni abiria aliyekuwemo kwenye basi hilo ambaye alijitambulisha kwa jina moja la Abdul

No comments:

Post a Comment