Sunday, July 8, 2012

RC MWAMBUNGU AKUMBUSHIA ENZI ZAKE WAKATI AKIFANYA KAZI ZA UANDISHI WA HABARI

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye kitaaluma ni Mwandishi Bw. Said Mwambungu akifurahia jambo na Mwandishi wa TBC,Gerson   Msigwa katika Uwanja wa ndege wa Songea wakati wakimsubiri Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

No comments:

Post a Comment