Saturday, July 21, 2012

TUJIKUMBUSHE,ZIARA YA PINDA RUVUMA

 Waziri Mkuu  Mizengo Pinda, akiwa na Viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati akikagua hifadhi ya chakula ya Taifa,wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Said Mwambungu .Wa pili kulia ni Meneja wa Wakala wa hifadhi ya chakula Bw. Morgan Mwaipyana.
 Hapa anafurahia ngoma ya Beta iliyokuwa ikitumbuizwa na Kikundi cha Beta cha Lizaboni  Songea.
Akikagua shamba l kahawa toka kwa Mwekezaji huyo wa Kampuni ya AVIV.
 Hapa akikagua Shamba la Kahawa la Mwekezaji Bw. Medappa(Katkati) wa Kampuni ya AVIV.wa kwanza kulia ni RC wa Ruvuma Bw. Mwambungu.
 Akimwelekeza jambo Mwekezaji.
Akikagua miche ya Kahawa toka kwenye shamba la Mwekezaji.

No comments:

Post a Comment