Sunday, August 5, 2012

MIKAKATI YA KLABU YA WANAHABARI RUVUMA KUFUNGUA RADIO YAANZA

 Hili ni jengo ambalo Wanahabari wameshalilipia Pango ya miezi 6 na kuanza ukarabati kwa ajili ya kuweka Kituo cha Radio na Ofisi za Klabu hiyo.Wadau wa habari Nchini wametakiwa kutoa ushirikiano ili kufanikisha jambo hilo.
 Katibu wa Klabu hiyo Bw. Andrew Chatwanga akisoma taarifa ya mikakati ya kufugua Radio na maendeleo mengine ya Klabu hiyo.Kulia ni mjuumbe wa Kamati ya utendaji Bw. Alpius Mchucha.
Katibu Msaidizi wa Klabu hiyo Bw. Moses Konala akitafakari jambo kwenye kikao hicho.Anayemfuatia ni Cresensia Kapinga mjumbe wa Kamati ya utendaji wa Klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment