Wednesday, August 1, 2012

MISHENI YA PERAMIHO NA KIVUTIO CHA UTALII,KUNA KANISA LENYE MIAKA ZAIDI YA 100

 HILI ndilo Kanisa la Peramiho lenye miaka zaidi ya 100 ambalo kuna kengele zinajogonga bila kugongwa muda wa sala unapowadia.
 Mndhari ya Kanisa hilo inavyoonekana.
 Jengo la Abasia ya Peramiho ambako ndiko ziliko Ofisi za Abate Anasstasius na Priori Fedelis.
 Hosteli za Wageni mbalimbali wanaotembelea Peramiho.
Mandhari ya Jengo la Abasia ya Peramiho,mbele ni Sanamu ya Mtakatifu Benediktine.

1 comment: