Thursday, August 2, 2012

MAZINGIRA MAZURI SHULENI YANAWAVUTIA WANAFUNZI KUIPENDA SHULE

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Maela Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma wakicheza kwenye Shule ya english Medium ya De Paul baada ya kutoka kwenye Shule yao ya Msingi Maela.
 Wakiendelea na michezo yao.Wanafunzi hao wameuambia Mtandao huu kwamba katika Shule hiyo wamefuata mazingira mazuri yanayowavutia.
Mmoja wa WAnafunzi hao Venant Mbilinyi(10) ameuambia Mtandao huu kwamba mazingira mazuri yanawavutia kuipenda Shule.

No comments:

Post a Comment