Tuesday, September 4, 2012

BASI LA SAD EXTRA LATEKETEA KWA MOTO

 Basi la SAD EXTRA linalofanya safari Songea -Nyasa baada ya kuungua moto huku vioo vyote vikiwa vimeteketea.Mmiliki wa gari hilo Bw. Abdulamid Sadi ambaye alizungumza na Mtandao huu kwa njia ya simu alisema  ni mapema mnno kujua hasara aliyoipata.

 Siti zote pampja na kapeti ya ndani ya gari vikiwa vimeteketea
Upande wa dereva nao haukupona ingawa Injini imepona.Gari hilo lenye thamani ya shilingi milioni 80 liliungua mto wakati likiwa matengenezoni Sido.

No comments:

Post a Comment