Mke wa Kiongozi huyo Bi. Eva Simon wa zamani akizungumna Waandishi wa habari.
Mke wa mzee huyo Bi. Eva simon ambaye alikuwa Bibi maendeleo kwenye miaka 1973 akiwa Hospitali hapo.Pia alisom,a na Spika wa Bunge la tanzania Bi Anne Makinda ambapo walikuwa wakimuita Ana Samamba.Anasema kuwa alisoma na Bi. Makinda kwenye miaka ya 1962 hadi 1965 na kwamba walisoma darasa moja Middle School Peramiho.
Hapa akiwa katika Hospitali.
RAIS KIKWETE SIKIA KILIO MZEE HUYU
SERIKALI imemsahau mpigania Uhuru na alyewahi kushika nyadhifa nyigi za kisiasa Nchini na za Kiserikali huku akiwahi kuwa Katibu wa CCM na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bw. Josephat(75) rangimbaya maarufu kwa jina la Liriku liku ambapo amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akisumbuliwa na maradhi.
Aliwahi kufanya kazi na Rais Kikwete wakati akiwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara yeye alikuwa Katibu wa Mkoa na Mkuuwa Mkoa.Pia aliwahi kuwa Katibu wa Tanu katika Wilaya mbalimbali Nchini na wakati akiwa Bwana Afya wa Wilaya enzi za mkoloni alitaka usawa kati ya Waafrika na Wazungu hali iliyopelekea afukuzwe kazi
Mtoto wa Kiongozi huyo Bw. Juvenali Mhagama akimuuguza baba yake
Mtoto huyo akiwa Hospitali
Mke wa mzee huyo Bi. Eva simon akimuuguza mumewe
Bw. Juvenali akimjulia hali Baba yake
No comments:
Post a Comment