MAMIA WA SHIRIKI KUMZIKA WAANDISHI NAO WASHIRIKI
Mama wa Marehemu
Mkuu wa Wilaya Songea Bw. Joseph Joseph Mkirikiti(kati kati) amewaongoza waombolezaji kumzika Mtendaji huyo wa Mtaa.Wa kwanza kushoto ni Meya wa Manispaa ya Songea Bw. Charles Mhagama na wa kwanza kulia ni Mwanahabari wa Gazeti la Majira Songea Bw. Mhaiki Andrew.
Jeneza la mwili wa Marehemu likiteremshwa kaburini.U mavumbi na mavumbini utarudi.Wanadamu Mkubukeni Muumba wenu wakati wa uhai wenu.
Mume wa Marehemu Mwalimu Samsoni Komba(wa kwanza kushoto) akimlilia Mkewe,wa kwanza kulia ni Baba Mkwe wa Marehemu akiwa amemshika mjukuu wa Marehemu.
Mume wa Marehemu akimuaga Mkewe.
Baba Mkwe wa Marehemu Thomas Lipuka Komba akiwa na mkewe akimuaga Mkamwana wake na kuweka Taji kwenye kaburi lake.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Ruvuma Bw. Moses Konala akitoa Neno kwenye msiba huo
Mamia ya wakazi wa Songea kwenye msiba huo.
Mama wa Marehemu akigaragara kwenye Kaburi la Mwanae
Mwombolezaji akiwa amebeba msalaba kwenye msiba huo.
No comments:
Post a Comment