Friday, September 7, 2012

WANAHABARI RUVUMA WALIVYOJIVINJARI KWENYE JUBILEI YA DOCTOR ANSIGAR

 Mwanahabari Joseph Mwambije akitafakari jambo katika eneo la Ofisi ya Makazi ya Kiongozi wa Abasia ya Peramiho.
 Mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la TBC Kituo cha Ruvuma  Catherine Nyoni akifurahia maua kwenye makazi hayo.
 Hapa wakitafakari kwa pamoja kuhusiana na Kifo cha Mwanahabari mwenzao Daud Mwangosi na changamoto zinazowakabili.Kutoka kulia ni Catherine Nyoni,Moses Konala ambaye ni Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Ruvuma,Bw. Mbele wa Jogoo FM Radio na Bw. Mwambije
 Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Peramiho na Mweka hazina Mkuu wa Watawa Wabenediktine duniani Doctor Ansigar Stuffe.
Wahudumu wa afya  majumbani ambao wanatekeleza huduma  ya afya ya msingi wakijiandaa kumlaki Doctor Ansigar.picha ya juu.

No comments:

Post a Comment