Gari lililogongwa
Ajali hii
imetokea maaneo ya white house jirani na ofisi za Tbc songea majira ya saa 5:20
jioni ,
Ajal
hii imehusisha dereva pikipiki (yeboyebo) na gari aina ya Vitara iliyokuwa
ikitokea msamala ikielekea mjini.
Chanza
cha hajali hiyo kwa mashuhuda walioiona wamedai dereva wa gari aina ya vitara
alisimama gafla kwenye matuta badala ya kupunguza mwendo.
Ndipo
kijana huyo ambaye ni dereva pikipiki(yeboyebo) alipomva na kumgonga kwa nyuma
na kuchanika usoni, Kijana huyo amepelekwa hospital ya mkoa wa Ruvuma kupata
matibabau.
Pia wamesema
dereva wa Gali hilo ambaye akufahamika jina kwa haraka alikuwa akiendesha gari
huku amelewa ,
Aidha wamelaana
juu ya hawa madereva wanaoendesha magari wakiwa wamelewa kwani wanasababisha
ajari nyingi barabarani pia wanaiomba serikali kuchukua mkondo wake kwa hawa
madereva wanaoendesha huku wamelewa.
Ilikupunguza
ajali nyingi barabarani pia nakuwataka hawa madereva wa pikipiki(Yeboyebo)
kuendesha kwa umakini wawapo barabarani kwani wamekuwa wakiendesha kwa kutofata
sheria za barabarani.
Huyu mzee alievaa shati la mistari ndie mwenye gari
Askari wa Barabarani wakiwa eneo la tukio
Mashuhuda wakiangalia ajali
madereva pikipiki(yeboyebo) wakitoa ushirikiano kwa Askari wa barabarani
CHANZO-de masho.blogspot.com
No comments:
Post a Comment