Friday, October 26, 2012

TATIZO LA MAFUTA LAZIDI KUTIKISA SONGEA,MAFUTA YAREJEA LEO KWA MGAO

 Hapa ni Madereva pikipiki foleni ya mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Kisumapai.Wamewalalamikia Wafanyabiashara wa Mafuta kwa kuficha mafuta ili wapandishe bei.
 Foleni ikiwa inaendelea
 Foleni.
 Hawa  wakiwa kwenye foleni ya mafuta  ya taa
 Foleni.

Ni katika Kijiwe cha Nandozi ambako Vijana wamelalamikia Wafanyabiashara kuyaficha mafuta.Bei ya Petroli imefikia shilingi 2115 na Dizeli ni shilingi 2100 ambayo hata hivyo yanauzwa kwa mgao.

Vijana wa Nandozi walipozungumza na Mtandao huu ambako wamekuwa wakiuza mafuta  wamekuwa wakiyanunua  lita moja moja kwenye vituo vya mafuta kupitia pikipiki na kutoa huduma kwa wananchi watokao vijijini.

No comments:

Post a Comment