Monday, November 12, 2012

ILI KUWA NA TIMU BORA YA KUOGELEA VIJANA DODOMA WAFUNDISHWA KUOGELEA

 Vijana wakijianda kuogelea wakimsikiliza Mwalimu wao wa kigeni(kulia)
 Hapa Mwalimu wao wa Kigeni akitoa maelezo,wa  pili ni Mwalimu msaidizi wa darasa la kuogelea.
 Vijana wakiwajibika.
 Vijana wakifurahia kuogelea
 Darasa likiwa limeoga
Nami nilikuwepo Dodoma hivi karibuni,hapa ni Dodoma Hoteli nafuatila darasa hilo la uogeleaji.

1 comment:

  1. Hakika ni jambo muhimu sana kujua kuogelea na hii inabidi ifanyike kwa vijana wengi nchini.Nimependa sana hiii

    ReplyDelete