Saturday, December 8, 2012

AJIUA BAADA YA KUANDAMWA NA UGONJWA WA MATAMANIO YA NGONO YA MARA KWA MARA


NewsImages/6701730.jpg
Gretchen Molanen wakati wa uhai wake

Mwanamke mmoja nchini ufaransa aliyefahamika kwa jina la Gretchen Molanen (23) amechukua uwamuzi wa kujiua kwa sababu ya kusumbulia na ugonjwa wa ajabu unaomfanya atamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuishiwa hamu ya tendo.
Mwanamke mmoja nchini ufaransa aliyefahamika kwa jina la Gretchen Molanen (23) ameamua kujiua kwa kusumbulia na ugonjwa wa ajabu unaomfanya atamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuishiwa na hamu ya tendo.

ungonjwa huo unaofahamika kwa jina Sexxual arousal disorder (female sexual arousal disorde)
unazichochea sehemu za siri kutamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuisha hamu.

Imelezwa kwamba ugonjwa huo hatari unawapata wanawake tu, kulingana na mtandao mmoja wa kifaransa , unamfanya mwanamke kutamani kufanya ngono wakati wote, bila ya kujali nani anafanya naye tendo hilo, na hakuna kitu kinachoweza kupunguza mataanio hayo mpaka pale hisia hizo zitakapopungua wenyewe, hali hiyo hudumu kwa muda wa masaa kadhaa mpaka siku mzima.

Wanasayansi wamesema kwamba ugonjwa huo ni matoke ya udhaifu na ulegevu wa mishipa ya sehemu za sira za mwanamke, na wala hauna mahusiano na matamanio ya kufanya ngono kwa kuvutiwa kimapenzi, Gretchen aliacha kazi ili apate muda wakutosha kujitibia lakini baada ya kuona hakuna ufumbuzi wa tatizo lake aliamua kujiua.
CHANZO- MACHAKU'S BLOGU

No comments:

Post a Comment